Tuesday, September 24, 2013

MY PROJECT: METAL CURTAIN RODS, POLES & HOLDBACKS - DESIGNED AND FIXED @ KIMARA

Fancy Home Decor ilipokea oda kutoka kwa mdau ya ku design na ku fix metal curtain rails, curtain poles and curtain holdbacks kwa madirisha ya nyumba nzima kwanzia sebuleni, dining room, Master bedroom na vyumba vingine viwili. Kama mnavyoona ilikuwa bado haijahamiwa. 
Inapendezaa...



Hii ndo Curtain holdback design tuliyoiweka...



Hapa ni Living room...madirisha makubwa na madogo yote yamependeza!








Haya ni madirisha ya master bedroom...






Haya ni madirisha ya jikoni...



Hongera sana mdau...Mungu akubariki sana!!