Friday, July 5, 2013

MY PROJECT: INTERIOR DESIGNING & DECORATION - LIVING ROOM 1 - SITE YA MAKONGO

DESIGNER: MERCY - FANCY HOME DECOR

LIVING ROOM 1 - Designing & Decor


LOCATION: Makongo Juu

COLOR COMBINATION: Purple mist & Sweet Lavender

WALLPAPER: 

Wallpaper iliyotumika kwa sebule mojawapo ndo hii hapaaa....beautiful indeed !! 


                     Hapa tayari rangi ikiwa imeshapakwa na kuleta muonekano mzuri wa kuvutia 






            Niliweka wallpaper itakayo match na rangi nlizozipaka ukutani...beautiful color combination


                                                   Muonekano mpya wa sebule nzima......yapendezaaa



                                                                         
 
                                                                        Imetulia...                                                                     

Dear visitor...are you inspired??
Jeh, ungetamani kubadilisha muonekano wa sebule yako au nyumba yako kwa rangi hizi au nyingine yoyote??......Usisite kuwasiliana nami !! Naweza kukufanyia designing kama hizi na kubwa kuliko hizi kulingana na "budget" yako. 

Simplicity is the rule.
 
Lets decorate, Live and enjoy !!

Contact: +255 0712 023102

Karibuni wote.