Saturday, May 23, 2015

MY PROJECT: WALLPAPER WORK...SITE YA MBEZI MALAMBA MAWILI.

Hii ni kazi yangu....Fancy Home Decor.

Tulibandika wallpaper ya design hii jikoni napia kwenye entrance ya kuingia bathroom/ toilet.....kwa mteja wangu Mbezi Malamba mawili. 

Ukiiangalia haraka haraka unaweza kufikiri ni tiles au mawe flani hivi!..... Kumbe ni wallpaper flani hivi Amazing!
Jikoni tulibandika kwenye kwenye ukuta mmoja......na kwenye entrance ya kuingia bafuni na toilet tulibandika kuta zote 4. 

Karibuni sana kuweka oda......tunazo wallpaper za rangi tofauti pia na designs tofauti.

For more contact us: Call +255 0712 023102


Ilivyokuwa BEFORE hatujabandika.....na AFTER ya kubandika wallpaper jikoni
Huu ndo ukuta wa jikoni tuliobandika.....
Hapa tunaona ukuta wa jikoni niliobandika.....na kuta za entrance za bathroom/toilet
Hapa tulibandika kwenye entrance ya kuingia Bafuni / toilet.....
There is no place like home.....