Sunday, February 23, 2014

MY PROJECT: CURTAIN POLES, RODS AND HOLDBACKS DESIGNING - SITE YA SALASALA

Fancy Home Decor ilipata project ya ku design na kufunga mabomba ya pazia na vishikio vya pembeni vya pazia kutoka kwa mteja wa Mbezi Salasala. Asanteh sana mteja wangu Kwa kazi hii uliyonipa.

Fancy Home Decor inatengeneza kwa oda na kwa bei nafuu. 

Call  # 0712 023102. 


Tuesday, February 18, 2014

MY PROJECT: WALLPAPER DECORATION - SITE YA MBEZI SALASALA

As part of Interior designing & decoration, Fancy Home Decor ilibandika wallpaper sebuleni kwenye ukuta wa TV. Color Combination ya wallpaper ilikuwa ni black & white. We chose this wallpaper design to match with the red color which i painted on the gypsum ceiling and the red & white curtains on the windows. It also match perfectly with the paints on the living room walls and Corridor.
It looks Classy and elegant.  

To order CALL 0712 023102. 


Kabla ya kubandika wallpaper ilikuwa hivii...
Kazi ya kubandika ilianza hivii...

Wednesday, February 12, 2014

MY PROJECT: INTERIOR DESIGNING SITE YA SALASALA - COLOUR, WALLPAPER, CURTAIN RODS, POLES & CURTAIN HOLDBACKS.

Kutoka kwa mteja wa Mbezi Salasala... Fancy Home Decor pia ilipata project ya Interior designing and decoration.... pamoja naile rangi ya nje(exterior).
Nilifanya Interior designing -Nikachagua rangi na tukapaka nyumba nzima: sebule, dining room, corridor, master bedroom, dressing room, Library room, girls & boys room and store.

#Sebuleni nika design Wallpaper kwenye ukuta wa TV...ambayo ni black and white wallpaper. 

#Kwenye gypsum ceiling kwa juu nilipaka red paint kwenye ile miduara miwili pamoja na dining room...Color combination ilikuwa ni red, black & white.

#Baadae nikamalizia kwa ku design na kufunga mabomba ya mapazia(Curtain rails, poles & holdbacks) kwa madirisha ya nyumba nzima...sebuleni, dining room, vyumbani, jikoni, bafuni na toilets.

....Kabla hatujaanza kupaka rangi, FancyHomeDecor ilianza kwanza na kuuandaa ukuta kwa kufanya "skimming" nyumba yote kwenye gypsum ceiling na ukutani. Baada ya hapo ndo zoezi la kupaka rangi likaanza...na likamalizika kama hivo mnavyoona. Ilipendeza.


#Dear readers, karibuni sana Fancy home decor.... kupata Interior designing & decoration service kwa garama nafuu..

Call us now 0712 023102


....Interior design na decoration ya mpangilio wa rangi, wallpaper na Curtain poles ilikuwa hivii...

Hapa ni sebuleni...bado walikuwa hawajahamia...kwenye gypsum ceiling nili design na kupaka hiyo red color...na ukutani nikapaka hizo neutral colors.
Hapa ni dining room...kwenye mduara wa gypsum ceiling kwa juu nilipaka red paint...
Hapa ni Corridor... niliweka rangi hii ili kuleta mwanga kwenye corridor...
Girls room..
Boys room...
  
Masterbedroom nilipaka rangi hii pamoja na kufunga Curtain poles & holdbacks

Huu ni ukuta wa TV sebuleni, niliweka Wallpaper ya black & white ili ku match na red paint niliyopaka kwenye gypsum ceiling pamoja na rangi nilizopaka ukutani..
 
Black & white Wallpaper matched with the red & white curtains and red paint on gypsum ceiling...


 

Wednesday, February 5, 2014

EXTERIOR CONMIX PAINT COLOR DESIGNING PROJECT - AT MBEZI SALASALA

Our Work...

I thank God kwa kuniwezesha kuifanikisha project hii ya Exterior painting decoration & designing at Mbezi Salasala.

Nili design na tuka decorate rangi ya nje ya nyumba aina ya Conmix...pamoja na kupaka rangi nyeupe kwenye decorations za madirisha.

Conmix ni Paint application ambayo inakupa guarantee ya lifetime, haitoki wala haibanduki kwa miaka mingi ! 

Pia hauhitaji ku apply kwanza skimming (white cement) kama unavotaka kupaka rangi za kawaida....bali yenyewe unaweza kuipaka baada tu ya kupiga plasta...hii ina save cost na muda pia...
Na sio tu hilo, bali pia inapendeza sana.

We provide quality Interior & Exterior designing & decoration service.

Call us now +255 0712 023102  






Muonekano wa mbele wa nyumba baada ya kupaka rsngi...
Kuna decorations Baade zitakuja kuwekwa kwenye hizo ngazi(stairs) na kwenye skating ya nyumba.


At the backyard...

Sunday, February 2, 2014

MY PROJECT: CURTAIN POLES, RAILS & HOLDBACKS DESIGNING, SITE YA TABATA.

Kwa mara nyingine tena Fancyhomedecor ilipata project ya kutengeneza na kufunga mabomba ya mapazia (Curtain poles&rails) pamoja na vya kushikia pazia kwa pembeni (Curtain holdbacks). Ilikuwa ni kwa madirisha 24, sebuleni,diningroom na vyumbani...downstairs and upstairs rooms.

Kuweka oda call  # 0712 023102

BEFORE