Saturday, April 20, 2013

SHOE- SHAPED FLOWER POTS!!...CHUNGU CHA UA DESIGN YA KIATU!!
Very attractive for outdoors and indoors....your garden will be an eye catching with this unique idea!!


Monday, April 15, 2013

USIACHE KUTANGAZA BIASHARA YAKO!!!OFFER!       OFFER!        OFFER!     OFFER!


 

FANCY HOME DECOR TUMEANZA KUPOKEA MATANGAZO YA BIASHARA.  

NA MWEZI HUU TUNATOA OFFER KABAMBE KWA WALE WATAKAOANZA KUTANGAZA BIASHARA ZAO KWENYE BLOG YETU!!

 

 

1. SIDE BURNER & FLOATING BURNER:  

TANGAZA BIASHARA YAKO MWEZI HUU  (1) UPATE PUNGUZO LA BEI LA 20%!!

 

 

2. TOP BURNER & BACKGROUND BURNER:  

TANGAZA BIASHARA YAKO KWA MIEZI MITATU(3) UPATE PUNGUZO LA BEI LA 20% ...PAMOJA NA OFFER YA MWEZI MMOJA BURE WA KUTANGAZA BIASHARA YAKO!!!

 

 

ALL BURNERS:

TANGAZA BIASHARA YAKO KWA MIEZI SITA (6) UPATE PUNGUZO LA BEI LA 30% ... PAMOJA NA OFFER YA MWEZI MMOJA WA KUITANGAZA BIASHARA YAKO!!!ALL BURNERS:

TANGAZA BIASHARA YAKO KWA MWAKA MMOJA (1 YEAR) UPATE OFFER YA MIEZI MITATU BUREEE!!!

 

 

PIA TUNAPOKEA MATANGAZO YA SIKU NA HATA YA WIKI!TANGAZA KWA BEI NAFUU....UPATE FAIDA MARADUFU!!

 

UNANGOJEA NINI!!!

 

CALL US ON 0712 023102 FOR MORE INFO, OR EMAIL US ON fancyhomez@gmail.com  UWAHI SASA KUTANGAZA BIASHARA YAKO.

 


BIASHARA NI MATANGAZO...NA SISI TUNAKUWEZESHA.KARIBUNI SANA.

 

 

 

10 MOST FANCY HOME DECOR ACCESSORIES!!


Decorating your home is a process that is highly personal and that relies upon your personal taste. In the mean time, you want your home to be fancy and welcoming to your guests.

Here are 10 must have fancy accessories which would make your home both fancy and inviting to your guests.
 10. FILM REEL FRAME - BLACK & WHITE

9.  NICKEL BATH ACCESSORIES
8. CLASSIC FLOOR MIRROR
7. BASKETS
6. TEXTURED THROWS

5.  BAMBOO CLOCK

4.  FLOOR MAGAZINE RACK

3. LEOPARD BLACK AND WHITE PICTURE


2. ORGANIC SHEETS

1.  SOLID THROW PILLOWS

Thursday, April 11, 2013

AMAZING OUTDOOR BEDS DESIGNS....VITANDA VYA MAJANI NAVYO VIMO!!

Jamani, Lounging on a blanket in the grass might sounds great lakini hivii ukilala hapa mkavu mkavu itakwajeh.....si unaweza kung'atwa na wadudu jamani au!!....lol

Duh, hii nayo kali!....jamani hiki nacho ni kitanda cha majani. sio shuka hilo ni majani hayoo...They call it cushioned grass bed for an afternoon naps or picnics.
Unaweza kulala hapa mchana, for you afternoon nap....kwa wale mabonge wenzangu sizani kama hiki kitawafaaa...hahaaaa

Angalau hichi kinaweza kuwafaaa.......have a nice nap!

Beautiful hanging day-bed

Suspended Outdoor Lounger, nice decor!!


Outdoor day bed  with colorful shade makers....nazani hapa ukitoa hayo mapazia panaweza kugeuzwa pakawa kama jukwaa flani hiviii...lol

Related Posts Plugin for Blogger...